Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Wema waongoza Bongo

Wema Diamond Sg Diamond, Wema waongoza Bongo

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mastaa wa Bongo wamekuwa wakipiga mkwanja na kujiongezea umaarufu kupitia mitandao ya Kijamii.

Ifuatayo ni orodha ya Watanzania 20 wanaoongoza kwa followers wengi Instagram.

01.@diamondplatnumz 16.8M

02.@millardayo 13.5M

03.@wemasepetu 11.1M

04.@hamisamobetto 10.7M

05.@officialshilole 10.19M

06.@wolperstylish 9.86M

07.@harmonize_tz 9.82M

08.@rayvanny 9.66M

09.@officialalikiba 9.45M

10.@officialnandy 9.03M

11.@jokatemwegelo 8.8M

12.@auntyezekiel 8.73M

13.@vanessamdee 8.66M

14.@idrissultan 8.6M

15.@ireneuwoya8 8.07M

16.@ommydimpoz 7.67M

17.@elizabethmichaelofficial 7.6M

18.@mangekimambi_ 7.5M

19.@kajalafrida 7.24M

20.@linahafrica 6.8M

Kwenye orodha hii kuna wanaume 7, Wanawake 13.

Je, sample hii itumike kuwakilisha kwamba wanawake ndio wanaongoza kwa ushawishi mkubwa nchini Tanzania?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live