Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond: Vijana tafuteni pesa, acheni uchawi

Diamond Acebook Diamond: Vijana tafuteni pesa, acheni uchawi

Sun, 17 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki maarufu kutoka Tanzania, #DiamondPlatnumz amefunguka kuhusiana na maisha yake pamoja na mali zake uku akiwasihi vijana waache uchawi kwani yeye mpaka sasa Ana umri Mdogo, pesa nyingi, Nyumba kali na ana Rolls Royce

Diamond amezungumza hayo wakati akiwa anajivinjali kwenye maji (anaogelea)

"WCB for Life, Young, Superstar, Nina pesa, nina jumba kali, mimi ni mdogo lakini nina hit, nina rolly royce fanya kazi siyo unasubiri Udange unahisi utatoboa acheni uchawi we fanyeni kazi tena kuwa na adabu, omba Mungu, ishi na watu," amesema Simba la masimba Dangote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live