Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Tanasha wapata mtoto wa kiume

78163 Diamondpic

Wed, 2 Oct 2019 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platmumz pamoja na mpenzi wake Tanasha Donna wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume leo Oktoba 2, 2019 ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa msanii huyo.

Dar es Salaam. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platmumz pamoja na mpenzi wake Tanasha Donna wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume leo Oktoba 2, 2019 ikiwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa msanii huyo. Esma ambaye ni dada wa msanii huyo amethibitisha tukio hilo kwa kuandika “Hongereni kwa Baby Boy ila na hongera na mimi najipongeza Aunty sio kwa zoezi lile Mwanangu umenikomesha sio kwa kunifanya niwe macho mpk sasa hivi”Kupitia Mtandao wa Twitter, Diamond Platnumz ameweka ujumbe unasomeka “13:28 2 Oct 2nd 2019 ??

Chanzo: mwananchi.co.tz