Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond Platnumz anapanga kuwekeza kwenye biashara ya media

1174 Screen Shot 2018 01 05 At 8.56.50 PM 595x400.png TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

 

Staa Diamond Platnumz ni miongoni mwa masataa katika muziki wa Bongo Fleva wanaoutambulisha muziki na lugha ya Kiswahili kimataifa zaidi kutokana na kushirikiana na wanamuziki kutokea nchi tofauti tofauti duniani.

Ukiongelea mafanikio ya Diamond Platnumz huwezi kutaja muziki  peke yake bali kuna vitu vingine kama bidhaa zake za karanga, perfumes  na vitu vingine.

Kupitia kituo cha habari cha K24 Tv  nchini Kenya  Diamond Platnumz  amekieleza kituo hicho kuwa  “Nina mpango wa kufungua Radio na Tv stations nchini Tanzania” akiwa katika mahojiano na kituo hicho.

K24 Tv wamethibitisha maneno ya Diamond Platnumz kupitia ukurasa wao wa twitter.

Ulipitwa na hii ya Vanessa Mdee kawatolea uvivu “pita hivi”???

 

 

Chanzo: millardayo.com