Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond: Nitawapelekea moto mpaka watuheshimu

Diamondplatnumz 1695285087238.jpeg Diamond: Nitawapelekea moto mpaka watuheshimu

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameshea ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram kutuma salamu kwa wale waliokuwa wanaichukulia poa Tanzania, Hii ni baada ya wimbo wake " Komasava" kufanya vizuri kote Ulimwenguni.

Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameshea ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram kutuma salamu kwa wale waliokuwa wanaichukulia poa Tanzania, Hii ni baada ya wimbo wake " Komasava" kufanya vizuri kote Ulimwenguni. Ameandika kuwa; “I Love You more Tanzania ????????, walituonea sana hawa, nikawa nawasoma Tu, …. Asaivi wameingia kwenye mfumo. Tumewashika pabaya….na nitahakikisha tunawapelekea moto mpaka wakiiona hii Bendera popote wawe na heshima,” amesema Diamond Platnumz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live