Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond: Nilikutana na mke wangu ofisini

Diamond Zuchus Diamond: Nilikutana na mke wangu ofisini

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Diamond Platnumz amefunguka kuwa yeye na mke wake wa hivi sasa walikutana Ofisini, hapo ndipo penzi lao lilipoanzia.

Diamond ameweka wazi jambo hilo wakati akijibu swali lililoulizwa na ukurasa wa Instagram wa Manara TV, kwamba "MKE WAKO ULIYENAYE SASA MLIKUTANA WAPI?"

Inaelezwa kuwa, Diamond Platnumz kwa sasa anatoka kimahaba na msanii wake ambaye anafanya naye kazi kwenye lebo yake ya WCC, Zuchu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live