Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond: Ndio maana sipendagi kutoa nyimbo

Diamondplatnumz 1690377883709.jpeg Diamond: Ndio maana sipendagi kutoa nyimbo

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya ngoma zilizotoka akiwemo Staa wa muziki @diamondplatnumz kuendelea kufanya vizuri kwenye Platforms mbalimbali #Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika.

"Ndio maana sipendagi kutoa nyimbo, naonaga bora nibaki zangu busy kwenye Media… au nijifungie zangu ndani na Chuchu."

Diamond anatrend na ngoma zake mpya kwa sasa ikiwemo Shuu na Enjoy aliyoshirikishwa na Jux.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live