Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond: Mimi ni shabiki wa Mbosso

Mondi Na Mbosso Diamond: Mimi ni shabiki wa Mbosso

Thu, 27 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Big boss wa Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa msanii wa lebo hiyo Mbosso.

Diamond amefunguka kuwa, alianza kuwa shabiki wa Mbosso kabla hata hajaanza kufanya naye kazi lakini imetokea wamefanya naye kazi, kwake ni heshima kubwa na anajivunia.

“Mbosso namkubali sana ndio maana unaona mbali na kufanya naye kazi napenda kuwa naye kwa sababu ni msanii ambaye namkubali,” alisema Diamond.

Mbosso anatarajia kudondosha albamu yake fupi (EP) Alhamisi hii Oktoba 27 maeneo ya Bahari Beach jijini Dar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live