Menu ›
Burudani
Fri, 15 Sep 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Masaa machache baada ya Mbosso na Diamond Platnumz kutamba mitandaoni kwa cheni zao za mamilioni kufika Tanzania, staa wa muziki nchini Kenya Otile Brown ameibuka na kuwapa changamoto.
Amehoji wananunua cheni kwa nani maana wauzaji wa cheni hizo ambao wamethibitishwa ni kampuni hizi nne tu JewelryUnlimited, IceBox, JohnnyDang na Ajeweler je wao wananunua kwa nani?
Otile amehoji hayo kupitia Instastory yake ambapo amewasihi wasanii kuacha kutamba mitandaoni wakati cheni wanazotamba nazo ni cheni feki.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live