Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Marioo wawasili kwao na Harmonize

Marioo Diamond Diamond, Marioo wawasili kwao na Harmonize

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB na Wasafi Media, Diamond Platnumz pamoja na msanii mwenzake Marioo tayari wamewasili Mtwara kwa ajili ya Wasafi Festival.

Supastaa wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB na Wasafi Media, Diamond Platnumz pamoja na msanii mwenzake Marioo tayari wamewasili Mtwara kwa ajili ya Wasafi Festival. Tamasha hilo litazinduliwa keshokutwa Jumamosi, Septemba 2, 2023 katika Uwanja wa nangwanda Sijaona mkoani Mtwara ambapo mastaa kibao watapanda jukwaani kukiwasha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live