Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Davido wakutana uso kwa uso Tuzo za Trace

DavidoooA0004 Diamond, Davido wakutana uso kwa uso Tuzo za Trace

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Unaambiwa ni Vibes on vibes kati ya Diamond Platnumz na OBO Davido walivyokutana na kuzungumza usiku wa tuzo za Trace Music Awards zilizofanyika Kigali Rwanda.

Wawili hao wote wameshinda tuzo ya vipengele tofauti Diamond Platnumz akishinda 'Best Artist East Africa' na  Davido ameshinda tuzo mbili 'Best Male' na 'Best Collaboration' kupitia wimbo wake wa Unvailable ft Musa Keys wa South Africa.

Diamond Platnumz na Davido tayari washafanya ngoma moja ya Number One Remix iliyotoka mwaka 2014.  

Chanzo: www.tanzaniaweb.live