Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond Amnunulia Gari Dansa Wake

Diamond12334 Gari

Tue, 21 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

STAR wa muziki barani Africa Simba ???? @Diamondplatnumz ????????amemnunulia gari dancer wake @hbaajuni ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa muda mrefu

Hii ni kutokana na jitihada alizoonesha dancer wake huyo katika kujituma na utendaji wake wa kazi

Kupitia ukurasa wa instagram #hbaajuni amethibitisha hilo kwa kuandika... ????

"Asante m/mungu kwa hatua hii asnte big bro @diamondplatnumz kwa zawadi hii kwangu m/mungu apajaze pale ulipopunguza????"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live