Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond, Ali Kiba uso kwa uso Kenya

Alikiba Diamond (1) Diamond, Ali Kiba uso kwa uso Kenya

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii @diamondplatnumz na @officialalikiba wanatarajiwa kutumbuiza siku moja huko nchini Kenya October 28 katika matamasha mawili tofauti huku kila mmoja akitumbuiza lake

Wasanii @diamondplatnumz na @officialalikiba wanatarajiwa kutumbuiza siku moja huko nchini Kenya October 28 katika matamasha mawili tofauti huku kila mmoja akitumbuiza lake Diamond yeye atatumbuiza kwenye tamasha la Tusker October Fest litakalofanyika Nairobi nchini Kenya huku Alikiba akitumbuiza kwenye Tlb official launch Eldoret nchini Kenya, katika kuonyesha ukubwa wa wasanii hao tayari watu wameshaanza kulinganisha ni nani atafanya tamasha kubwa usiku huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live