Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dela kuachia albamu chini ya label moja na Lady Jaydee

2636 26867908 2011350239112205 4512155563001380864 N E1517825380632 TZW

Mon, 5 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Dela yupo mbioni kuachia albamu yake ya pili yenye nyimbo zipato 15.

Muimbaji huyo anatarajia kutoa albamu hiyo chini ya label ya TaurusMusik ambayo kwa sasa inamsimamia na Lady Jaydee kutoka Bongo.

Taarifa za ujio wa albamu hiyo amezitoa Dela mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika;

What’s up, #Delagates. I come bearing exciting news!
Chanzo: bongo5.com