Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dayoo, Rayvanny waupania mwaka 2024

Rayvanny X Dayoo Tz Dayoo, Rayvanny waupania mwaka 2024

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuachia ‘kolabo’ ya ngoma ya ‘Huu mwaka’ mwanamuziki @rayvanny ameweka wazi kuachia filamu ya wimbo huo inayotarajiwa kutoka siku ya kesho januari 31 saa nne kamili asubuhi.

Baada ya kuachia ‘kolabo’ ya ngoma ya ‘Huu mwaka’ mwanamuziki @rayvanny ameweka wazi kuachia filamu ya wimbo huo inayotarajiwa kutoka siku ya kesho januari 31 saa nne kamili asubuhi. Video ya ‘Huu mwaka’ ya @dayoo_tz aliyomshirikisha #Rayvanny mpaka kufikia sasa ina zaidi ya watazamaji milioni moja kupitia mtandao wa #YouTube ikiwa na wiki mbili tuu tangu kuachiwa kwake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live