Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dayna Nyange kaingia studio kurekodi na msanii mkubwa wa Nigeria

Screen Shot 2021 05 25 At 12.12.41 PM 660x400.png Dayna Nyange kaingia studio kurekodi na msanii mkubwa wa Nigeria

Tue, 25 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Mabibi na Mabwana ni headlines za mkali kutokea Bongo Fleva, Dayna Nyange ambae time hii ataenda kuandika historia mpya kuwa msanii wa kike kutoka Tanzania kufanya collabo na msanii wa Nigeria , Davido.

Mabibi na Mabwana ni headlines za mkali kutokea Bongo Fleva, Dayna Nyange ambae time hii ataenda kuandika historia mpya kuwa msanii wa kike kutoka Tanzania kufanya collabo na msanii wa Nigeria , Davido. Dayna kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha na kuwahabarisha mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kuwa wakae mkao wa EP aliyoipa jina la Elo na ametupatia tarehe rasmi ambayo atatubariki ujio huo ambayo ataachia tarehe 28 mwezi huu.

Chanzo: millardayo.com