Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido yamfika shingoni, atangaza vita..!

Davido Wa Nigeria Achunguzwa Kuhusu Madai Ya Vitisho Dhidi Ya Tiwa Davido

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria , Davido ameweka wazi kuwa sasa ataanza kushughulika na kulipiza kisasi kwa wale wote ambao wamewahi kumfanyia ubaya.

Davido kupitia ukurasa wake wa X (zamani twitter) amendika kuwa mtu yeyote ambaye amewahi kumfanyia ubaya wowote mwaka huu atalipa mmoja baada ya mwingine huku akidai kuwa ameanza sasa kulipa ubaya huo.

Aidha kupitia kauli hiyo iliyotelewa na #Davido wadau mbalimbali walijitokeza katika upande wa ‘komenti’ wakimtaka msanii huyo aanze na #Wizkid, kutokana na wawili hao kuingia katika bifu zito mwezi mmoja uliyopita na kupelekea kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live