Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido maji yamfika shingoni, atangaza kuacha Muziki

Davido Afunguka Kupata Watoto Mapacha Davido

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji staa wa Nigeria #Davido ametangaza kuwa Album yake ijayo itakuwa ya mwisho na ataachana na Muziki. Davido amefunguka hayo kwenye insta story yake ambapo ameandika

Mwimbaji staa wa Nigeria #Davido ametangaza kuwa Album yake ijayo itakuwa ya mwisho na ataachana na Muziki. Davido amefunguka hayo kwenye insta story yake ambapo ameandika “Nyie nyote mnataka sana niwe nje ya mchezo? Sasa baada ya Album yangu inayofuata, sitafanya Muziki tena. Hivyo mtakuwa na amani.” ameandika Davido.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live