Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido kusuka albamu na Chris Brown

DAVIDO NA CHRIS Davido kusuka albamu na Chris Brown

Fri, 19 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Kutoka Nigeria Davido ameweka wazi kwamba yupo mbioni kuachia album ya pamoja na Mwanamuziki kutoka Marekani, ChrisBrown.

Davido akiwa kwenye Podcast ya BootlEg Kev amesema;

"Kama kufanya Album ya pamoja na msanii kutoka Marekani basi atakuwa ni Chris Brown, mimi na Chris tuna ngoma kama 10 ambazo mashabiki hawajazisikia na tumezungumza kuhusu album ya pamoja."

Davido na Chris Brown wamewahi kufanya ngoma ya pamoja kama vile Blow My Mind (2019) na No Body Has To Know (2022).

Wawili hawa walionekana Wakifanya Challenge ya "Unavailable" ngoma ya kwake Davido Ft Musa Keys huko nchini Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live