Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido kama Drake tu

Davido And Drake 636x406.jpeg Davido kama Drake tu

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali wa Afro beat kutoka nchini Nigeria #Davido ameamua kufuata nyayo za ‘rapa’ Drake baada ya kumlipia mwanafunzi mkopo wa shule.

Mwanafunzi huyo alinyanyua bango kwenye show ya Davido iliyofanyika katika ukumbi wa ‘Madison Square Garden’ likieleza kuwa anaomba msaada wa kulipiwa mkopo wa shule, ndipo msanii hiyo akaeleza kuwa atamchangia dola 50k sawa na Sh 129 milioni.

Matukio kama haya yamekuwa ya kawaida kwa mwanamuziki #Drake, kwani miezi kadhaa iliyopita amekuwa akitoa maokoto kwa mashabiki wake moja wapo ikiwa ya kumlipia shabiki mkopo wa nyumba uliyokuwa ukigharimu kiasi cha dola 160k ambayo ni sawa na Sh 408 milioni.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live