Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido hali tete "Niko tayari kwenda jela"

Davido Chioma Ewf.jpeg Davido na Chioma

Fri, 21 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukisikia mtu kashikwa pabaya, basi ni Msanii Davido kwa mpenzi wake Chioma ambapo moja ya video clip inayo trend mitandaoni ni interview aliyofanya msanii huyo na mtangazaji Miabelle wa kituo cha Hot 97 FM, New York.

Davido aliulizwa kama anaweza kwenda jela atakapo takiwa kufanya hivyo kwa ajili ya mpenzi wake, ndipo msanii huyo akadai, anaweza fanya hivyo kwa ajili ya baby mama wake na mchumba wake, Chioma.

Mbali na hilo, Davido ameweka wazi pesa kubwa zaidi kutumia kwa mara ya kwanza akiwa na Chioma ni Dollar za kimarekani elfu 46,000 zaidi ya milioni 107.2 za kitanzania, walipoenda kufanya shopping Dubai.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live