Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido awashukuru waandaaji wa Grammy

Davido Afunguka Kupata Watoto Mapacha Davido awashukuru waandaaji wa Grammy

Wed, 22 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, Davido ametoa shukurani kwa waandaaji wa Tuzo za Grammy baada ya jina lake kuwa miongoni mwa wateule wa tuzo hizo.

Kupitia mahojiano yake na TMZ baada ya kuulizwa kuhusu kuchaguliwa kuwania tuzo hizo kwanza alishukuru kuwa nominated pili aliishukuru Academic ya Grammy kwa kuutambua muziki wa Afrobeat.

Hii ni mara ya kwanza kwa Davido kuchaguliwa kuwania Tuzo hizo za Grammy, ambapo yuko nominated katika vipengele vitatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live