Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido auza tiketi zote shoo ya Januari 28 ukumbi wa 02 Arena Uingereza

Davido Sold Out Tickets O2 Arena Davido auza tiketi zote shoo ya Januari 28 ukumbi wa 02 Arena Uingereza

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria #Davido ameuza Tiketi zote za Show yake kwenye ukumbi wa #O2Arena, London wenye uwezo wa kuingiza watu 20,000 kuelekea Show yake Jan,28,2024. . Mara ya mwisho #Davido kutumbuiza katika Ukumbi wa #O2ARENA ilikuwa Mwaka 2022 na itakuwa mara yake ya Tatu kutoa burudani kwenye ukumbi huo mara ya kwanza ilikuwa Mwaka 2019. . Mastaa wengine wa Nigeria ambao walifanikiwa kuuza tiketi zote #o2Arena ni #BurnaBoy, #WizKid , #Rema , #Asake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live