Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido atangaza ujio wa albamu yake mpya

Davido Md.jpeg Davido atangaza ujio wa albamu yake mpya

Wed, 22 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido ametangaza tarehe itakayotoka album yake mpya iitwayo TIMELSS ambapo ameweka wazi kuwa itatoka Marchi 31,2023.

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido ametangaza tarehe itakayotoka album yake mpya iitwayo TIMELSS ambapo ameweka wazi kuwa itatoka Marchi 31,2023. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amelithibitisha hilo kwa kushare video aliyoisindikiza na Maneno akiwashuruku mashabiki zake kwa upendo ambao wamekuwa wakimuonesha kila siki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live