Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido arejea Kanisani baada ya kuasi kwa miaka mitatu

Davido Chioma Kanisani Davido na Chioma Kanisani

Tue, 4 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Supastaa Davido ameweka wazi kwamba jana Jumapili alifanikiwa kuingia Kanisani na kutekeleza Ibada ikiwa ni miaka mitatu kutokufanya hivyo.

Davido ameeleza hilo kupitia insta story yake ambapo anatajwa huko Kanisani aliambatana na mpenzi wake Chioma.

"Kwa mara ya kwanza Kanisani ndani ya miaka 3, Mungu ni mwema," ameandika Davido ambaye kwa sasa amerudiana na baby mama wake Chioma maarufu Chef Chi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live