Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido apewa heshima hii nchini Nigeria

DAVIDO 3 Davido

Tue, 30 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji Davido ametunukiwa cheo cha heshima na chenye hadhi ya juu kwa nchini Nigeria. Cheo hicho kinatambulika kama Officer Of The Order Of The Niger (OON) ambapo kwa mwaka huu 2023 jumla ya watu maarufu na wasio maarufu 87 nchini humo wametunukiwa.

Mwimbaji Davido ametunukiwa cheo cha heshima na chenye hadhi ya juu kwa nchini Nigeria. Cheo hicho kinatambulika kama Officer Of The Order Of The Niger (OON) ambapo kwa mwaka huu 2023 jumla ya watu maarufu na wasio maarufu 87 nchini humo wametunukiwa. Tuzo hii ya heshima hutolewa kwa Mwananchi wa Nigeria ambaye mchango wake kwenye kulitumikia taifa umekuwa chanya kwenye nyanja mbali mbali ikiwemo Kijamii lakini pia kuitangaza nchi maeneo mbali mbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live