Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido aonesha jeuri kwa Wasanii wa Marekani

Davido Wa Nigeria Achunguzwa Kuhusu Madai Ya Vitisho Dhidi Ya Tiwa Nyota wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, David Adeleke (Davido)

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, David Adeleke (Davido), amesema kwasasa ukimuacha Chris Brown, hawezi kujisumbua kuomba kolabo na msanii mwingine yoyote wa Marekani.

Davio aliongea hayo hivi majuzi kwenye 'Podcast' na Sway's Universe.

"Kando na Chris Brown, sitajisumbua kwa ushirikiano na msanii mwingine yoyote wa Marekani,” alisema.

Ikumbukwe Davido ameshawahi kufanya ngoma "Blow My Mind' akimshirikisha Chris Brown.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live