Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido anunua cheni ya Tsh bilioni 1.5

F Davido Davido anunua cheni ya Tsh bilioni 1.5

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki wa AfroBeats kutoka nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke maarufu kama Davido ame-share cheni yake mpya ya dhahabu mpya aliyoinunua baada ya mafanikio makubwa ya Album yake ya #Timeless.



Cheni hiyo inaelezwa kuwa thamani yake ni £500,000 (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 1.5).

Kwenye moja ya mahojiano ya Ssaa huyo alisikika akisema kwamba Album ya #Timeless ni Album ambayo imebadilisha maisha yake kwa kiasi kikubwa.

Albamu hiyo yenye nyimbo 17 ilitoka Machi 31, 2023, na kuvunja 'rekodi' kwa kusikilizwa mara nyingi siku ya kwanza tu baada ya kuachiwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live