Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido ampongeza Rema kwa kutwaa tuzo ya MTV VMA's

Davido Rema Mtv Video Award 1200x720 Davido ampongeza Rema kwa kutwaa tuzo ya MTV VMA's

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Ushindi wa Video ya Rema na SelenaGomez "Calm Down Remix" kipingele cha "Best Afro-Beat" Kwenye Tuzo za Video Music Awards, Davido amekuwa Miongoni mwa Watu waliompongeza Rema .

Davido Kupitia Ukurasa wake wa Twitter ameeleza kwamba Rema amestahili kushinda Tuzo hiyo pia anamuombea aendelee kufanikiwa zaidi.

"Well deserved! Shine young King! Rema," amesema Davido.

Rema ndio mwanamuziki wa kwanza Barani Afrika kushinda Tuzo kutoka MTV Video Music Awards.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live