Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido ampaisha Chris Brown Marekani

Davido And Chris Brown.png Davido ampaisha Chris Brown Marekani

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mikono ya Davido na Kiddominant yampa mafanikio makubwa Mwanamuziki kutokea nchini Marekani, Chris Brown kupitia wimbo wa “Under the Influence”.

Wimbo huo wa “Under the Influence” umeuza nakala milioni 1 nchini Marekani na kutangazwa kufikia hadhi ya Platinum.

Wimbo huo toka kwenye Album yake (Indigo) ya mwaka 2019, uliandikwa na Davido pamoja na Mtayarishaji wa Nigeria, Kiddominant.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live