Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido aja na mtandao wake wa kijamii

Davido Atetewa Video Aliyowachefua Waislamu Davido aja na mtandao wake wa kijamii

Sun, 18 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido, ameingia katika teknolojia ya kutengeneza mtandao wa kijamii ‘Chatter’ambapo utajihusisha na mwaliko maalum kwa ubunifu wa maudhui, kushiriki katika mawasiliano na mijadala kwa njia ya sauti na Video.

Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido, ameingia katika teknolojia ya kutengeneza mtandao wa kijamii ‘Chatter’ambapo utajihusisha na mwaliko maalum kwa ubunifu wa maudhui, kushiriki katika mawasiliano na mijadala kwa njia ya sauti na Video. Mtandao huo unatarajiwa kuzinduliwa mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu kukiwa na lengo la kutoa uzoefu tofauti na mitandao mengine na kuleta ushindani kwa mitandao mengine kama X Spaces.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live