Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido afichua siri 'Nilikutana na Chioma nikiwa sina pesa'

Davido Mss(1).png Davido afichua siri 'Nilikutana na Chioma nikiwa sina pesa'

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Superstar wa muziki Africa Davido amesema alikutana na mke wake Chioma kipindi hana kitu mpaka sasa ana kitu.

“Nilikutana na mke wangu kabla sijakuwa na pesa. Tulianza na urafiki akiwa yupo Single, isingekuwa sawa kama ningekutana naye kama nilivyokuwa Davido huyu wa sasa hivi kwa sababu nina pesa”.

“Mafanikio yangu yote ya sasa yamekuja na watu ambao wamenizunguka kipindi sina kitu, hicho ni kitu kizuri sana”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live