Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido afichua kilichomfanya kutoa Albamu ya "Timeless"

Davido Afunguka Kupata Watoto Mapacha Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Nigeria Davido ameweka wazi kuwa kufanya albumu ya Timeless ilikuwa ni kwa ajili ya uponywaji ndani yake kufuatia kifo cha mtoto wake Ifeanyi kilichotokea mwaka 2022.

Davido kupitia mahojiano yake na Zane Lowe of Apple Music 1, aliweka wazi suala hulo huku akidai kuwa tukio hilo lilimfanya kutengeneza zaidi ya ngoma 28 za albumu hiyo kabla ya kuzichagua.

Aidha aliendelea kwa kueleza kuwa ana ngoma kali kuliko hata zilizopo kwenye albumu ya Timeless zaidi ya 60 ambazo hazijatoka hivyo basi hana wasiwasi kwa sasa kuhusu kutoa ngoma kali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live