Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido aendelea kukimbiza YouTube

Davido Afunguka Kupata Watoto Mapacha Davido

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Video ya wimbo wa ‘Unavailable’ ya mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido imefikisha watazamaji milioni 70 kwenye mtandao wa YouTube.

Video hiyo yenye miezi 6 tangu itolewe imeonekana kupendwa na mashabiki ndani na nje ya Afrika.

Ikumbukwe kuwa wimbo wa ‘Unavailable’ ambao Davido amemshirikisha Musa Keys kutoka South Africa, ni track namba 5 kwenye albumu ya ‘Timeless’ ya msanii huyo, na video hiyo ilitoka tarehe 11 April 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live