Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido achangisha Mil. 500 kwa ajili ya yatima

Davido Wa Nigeria Achunguzwa Kuhusu Madai Ya Vitisho Dhidi Ya Tiwa Davido achangisha Mil. 500 kwa ajili ya yatima

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Davido kupitia taasisi yake amefanikiwa kuchangia zaidi ya Shilingi Milioni 500 kwa ajili ya kusaidia watoto yatima.

Davido ametangaza kuwa siku ya kesho ataweka wazi vituo mbalimbali vitakavyofaidika na pesa hizo.

Imekuwa ni kawaida kwa Davido kila mwaka kuchangisha pesa kwaajili ya kusaidia watoto yatima nchini Nigeria.

Mwaka 2023 alichangia zaidi ya Milioni 400 kwenye vituo mbalimbali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live