Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Davido: Nafikiri nilikosea kuchagua kufanya muziki

Davido Wa Nigeria Achunguzwa Kuhusu Madai Ya Vitisho Dhidi Ya Tiwa Davido: Nafikiri nilikosea kuchagua kufanya muziki

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kufanya show katika Birthday dinner party ya mchezaji Memphis Depay, mkali wa #Afrobeat, Davido amedai kuwa anadhani amechaguwa taaluma isiyofaa baada ya kuona maisha halisi ya wana-soka katika Birthday party hiyo.

#Davido kupitia ukurasa wake wa X (twitter zamani) ame-share ujumbe uliokuwa ukieleza “Footballers Dey enjoy ooooo … be like I chose wrong profession” akimaanisha wachezaji mpira wana-enjoy maisha hivyo anadhani alikosea kuchagua taaluma anayoifanya ambayo ni muziki.

#Davido alihudhuria birthday dinner hiyo ya #Depay iliyokuwa ikifanyika nchini Spain Februari 13 mwaka huu, ambapo mchezaji huyo alikuwa akitimiza miaka 30. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live