Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Darassa amvisha pete mpenzi wake

Darassa Darassa amvisha pete mpenzi wake

Mon, 23 Aug 2021 Chanzo: eatv.tv

Hip Hop Staa, Mr Burudani Rapper Darassa amefungua ukurasa mwingine wa maisha ya mapenzi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu ambaye pia ni mzazi mwenza.

Hip Hop Staa, Mr Burudani Rapper Darassa amefungua ukurasa mwingine wa maisha ya mapenzi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu ambaye pia ni mzazi mwenza. Tukio hilo limeshuhudiwa na mtayarishaji wa muziki Abbah Process, Marioo na watu wake wengine wa karibu huku ikielezwa kuwa kumvisha pete hiyo mzazi mwenza huyo ni kiashiria cha kuelekea tukio la ndoa ya wawili hao siku za hivi karibuni.

Chanzo: eatv.tv