Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Dar haina mjanja, ukiingia kuwa makini

Kariakoo Pic 780x470 Dar haina mjanja, ukiingia kuwa makini

Sun, 26 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muimbaji na muandishi wa nyimbo Rama Dee ameendelea kutoa tahadhari kuhusu tabia na sifa za Jiji la Dar es Salaam kama ambavyo Professor Jay na Lady Jaydee walituambia miaka ya nyuma.

Kupitia mtandao wa X anaoutumia Rama Dee ameandika kuwa

“Kuna siku niliwahi kusema Dar haina mjanja, ukiingia kwenye huu mji ni vizuri uwe makini. Mji huu hauna uchoyo, ukitaka umalaya unapewa ukitaka kua mteja/mchawi,mwizi unapewa tu”.

Zipi sifa zingine za Jiji la Dar es Salaam?  

Chanzo: www.tanzaniaweb.live