Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Daimond ampa tano Masoud Kipanya

Diamond Masoud Daimond ampa tano Masoud Kipanya

Thu, 7 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa WCB, Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa pongezi kwa mtangazaji na mchora katuni maarufu nchini, Masoud Kipanya baada ya kuzindua gari lake alilolitengeneza mwenyewe na kulizindua hivi karibuni linalotumia nishati ya umeme.

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa WCB, Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram ametoa pongezi kwa mtangazaji na mchora katuni maarufu nchini, Masoud Kipanya baada ya kuzindua gari lake alilolitengeneza mwenyewe na kulizindua hivi karibuni linalotumia nishati ya umeme. Diamond ameandika; “Proud of you my brother @masoudkipanya gari hili ni fahari si kwako tu,bali ni kwa Taifa zima la Tanzania. Kupitia hili umeongeza chachu kwa vijana wengi kuamini kuwa hata sisi watanzania tuna thamani na tunaweza fanya mambo makubwa,” Diamond Platnumz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live