Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DULLY SYKES AMPA MTOTO WAKE JINA LA MARADONA

Dully Syke.png DULLY SYKES AMPA MTOTO WAKE JINA LA MARADONA

Sat, 28 Nov 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mkongwe wa muziki wa Bongofleva Dully Sykes amepata Mtoto wa kiume mwengine wa kiume ambapo atakua Mtoto wake wa sita.

Mkongwe wa muziki wa Bongofleva Dully Sykes amepata Mtoto wa kiume mwengine wa kiume ambapo atakua Mtoto wake wa sita. Dully ameamua kumpa Mtoto huyo jina la Marehemu Baba yake Mzee Sykes na jina la a.k.a alilompa ni Maradona ili kumuenzi pia Legend wa Soka wa Argentina aliyefariki juzi.

Chanzo: zanzibar24.co.tz