Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DJ Seven amvaa Harmonize: Rudi studio umepitwa na Zuchu

Harmonize Zuchuh(22).jpeg Harmonize na Zuchu

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Dj wa Harmonize "DjSeven" ametupa dongo kwa Boss wake wa zamani baada ya kupitwa na Zuchu kwenye orodha ya wasanii waliotazamwa zaidi mwezi Aprili kwenye mtandao wa YouTube.

Kupitia Instastory yake DjSeven amendika "Mwambieni Influencer wenu wa mapenzi arudi studio ona sasa kazidiwa hadi na yule binti".

DjSeven na Harmonize waliacha kufanya kazi baada ya Harmonize kuanza mahusiano ya kimapenzi na ambaye kwa mujibu wa Dj Seven anadai kuwa alikuwa ni mpenzi wake wa muda mrefu sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live