Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DJ Maphorisa awachana ma-DJs Nigeria kisa Amapiano

Dj Maphorisa M DJ Maphorisa awachana ma-DJs Nigeria kisa Amapiano

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

DJ maarufu kutokea Afrika Kusini, Dj Maphorisa amewalalamikia DJ’s wa Nigeria kuwa wanaharibu muziki wa Amapiano kwa kuucheza kwa tempo (speed ya muziki) ya juu kitu kinachoondoa uhalisia wa nyimbo hizo.

DJ maarufu kutokea Afrika Kusini, Dj Maphorisa amewalalamikia DJ’s wa Nigeria kuwa wanaharibu muziki wa Amapiano kwa kuucheza kwa tempo (speed ya muziki) ya juu kitu kinachoondoa uhalisia wa nyimbo hizo. Maphorisa anasema DJ’S wa Nigeria wanacheza Amapiano kwa BPM (Beat Per Minute) ya 160 ambayo ni kubwa sana na inaharibu ladha ya muziki huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live