Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DJ Khaled kufanya albamu na Burna Boy

DJ Khaled Kufanya Ngoma Na Burna Boy DJ Khaled kufanya albamu na Burna Boy

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inadaiwa kuwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani DJ Khaled amepanga kumshirikisha msanii kutoka Nigeria, Burna Boy kwenye Album yake ijayo ya 'Til Next Time' iliyopangwa kuachiwa mwaka 2024.

Katika mahojiano na Jeff Ihaza wa Rolling Stone, DJKhaled alifichua kuwa hivi karibuni amekuwa akivutiwa na mwanamuziki huyo wa Afro beats, na kuongeza kuwa ana mpango wa kumshirikisha katika album yake mpya.

Mpaka sasa DJ Khaled hajaweka wazi tarehe rasmi ya kuachia album hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live