Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DJ D Ommy aondoka Clouds FM siku chache baada ya kupelekwa Jahazi

DJ D  Ommy DJ D Ommy

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dj maarufu wa Kituo cha Clouds FM, Dj D Ommy ametangazwa kuondoka katika kituo hicho ikiwa ni siku chahche baada ya kutangazwa kuwa anapelekwa katika kipindi cha jioni cha Jahazi.

Uongozi wa Clouds FM kupitia kwa Mkurugenzi wake wa maudhui Seba Maganga umetoa taarifa hii ambayo unaweza kuitazama hapa Chini;

View this post on Instagram

A post shared by Clouds TV ???????? (@cloudstv)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live