Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DJ Allybi: Kujenga ni uoga wa maisha

Ally B DJ Allybi

Thu, 6 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mcheza santuri maarufu nchini tanzania, DJ Allybi haamini kabisa kwenye kujenga sababu sio kitu cha mafanikio kwake.

Mcheza santuri maarufu nchini tanzania, DJ Allybi haamini kabisa kwenye kujenga sababu sio kitu cha mafanikio kwake. "Kujenga sio kufanikiwa wanaojenga asilimia kubwa wakiwa wadogo ni uoga wa maisha, bora kudaiwa kodi na mwenye nyumba," DJ Allybi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live