Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DJ Ally B amjibu Willy Paul

Willy Paul Ataja Sababu Ya Kuacha Kutoa Muziki Kwa Makusudi.png Willy Paul

Sun, 20 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

DJ maarufu bongo @djallybi 'Asumaniii' ameshea comment yake baada ya msanii wa Kenya Willy Paul kusema bila yeye muziki wa Kenya unakufa akiwaambia watoe muziki mzuri waache maneno sababu wamekuwa wa drama sana.

Kwenye taarifa hiyo ya Willy Paul akitamba bila yeye muziki wa Kenya unakufa DJ Ally Bi amejibu kwa kuandika

"Hawa inabidi waachie ngoma kali, waache maneno moob too much drama in Kenyan Music Industry. Maneno wangewaachia wa Mombasa na Lamu huko #We Need Good Music".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live