Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DJ Ally B: Sitachangia harusi ya mtu

Rty Ally Bbbb DJ Ally B.

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kula chuma hicho kutoka kwa DJ Ally B 'Asumanii' akisema kuwa hatamchangia mtu kwenye harusi kwa sababu hata yeye hajachangisha michango wakati anamuoa mkewe na mama mtoto wake Mama Simba.

DJ Ally B amefunguka hilo kwa kushea video clip katika page yake ya Instagram akieleza hilo na kuandika "Jamani mnielewe tu, me sijachangisha harusi yangu na Mama Simbaa, hivyo mjue mi simchangii mtu".

Yuko sahihi katika hilo au amepuyanga?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live