Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DIAMOND APATA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME AEAUSA

Diamond Platnumz Barua Capella DIAMOND APATA TUZO YA MSANII BORA WA KIUME AEAUSA

Mon, 21 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii wa muziki wa BongoFleva Diamondplatnumz ametangazwa mshindi tuzo za @aeausa 2020 katika kipengele cha “Best Male Artist” (Msanii Bora wa Kiume) akiwashinda Eddy Kenzo, Wiz Kid , Shatta Wale, Stonebwoy, Davido, Burna Boy, Mohamed Abbas, Fally Ipupa na Jahllano ambao alikuwa akichuana nao kwenye Kipengele hicho.

Chanzo: zanzibar24.co.tz