Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DARASA AACHIA ALBUM YAKE YA PILI

Image 830.png?fit=576%2C544 DARASA AACHIA ALBUM YAKE YA PILI

Thu, 24 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii wa mziki nchi Tanzania  darassa ameachia album yake iliokwenda kwa jina la “Slave Becomes A King” ambapo pia ameeka listi ya ngoma zinazopatikana kwenye album hiyo na inayotarajiwa kuachiwa rasmi usiku wa leo.

“Slave Becomes A King” ina jumla ya ngoma 21, huku ikiwa na kolabo 18, ikijumuisha (wasanii kutoka nje na ndani ya Bongo). Imetayarishwa na maproducer 6, katika jumla ya kazi zote 21.

Slave Becomes A King ni album ya pili kutoka kwa darassa ambapo mwaka 2018, alishatoa album ya kushirikiana akiwa na msanii Benpol, album hiyo iliitwa “Two Legends One Album” yenye jumla ya ngoma 12.

Chanzo: zanzibar24.co.tz