Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

DAKIKA 3 ZA BALAAH LA DIAMOND MWEMBE YANGA

2602 DIAMOND 660x400

Mon, 5 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 4, 2018 kundi la WCB limefanya utambulisho mwingine wa pili wa msanii Mbosso katika uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke Dar es salaam ambapo wasanii wote wa WCB wali-perform na moja ya wasanii hao ni President wa WCB DIAMOND PLATNUMZ ambaye alitoa burudani katika viwanja hivyo.

CHUKUA DAKIKA 3 KWA BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

MBOSSO DAY: SHANGWE LA HARMONIZE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com